Swali: Je, kuna kigezo cha kuficha aibu ya muislamu?

Jibu: Kama hakudhihirisha maasi yake. Ama yule anayedhihirisha waziwazi maasi, huyo hasitiriwi:

”Ummah wangu wote ni wenye kusamehewa isipokuwa wale kujidhihirisha kwa maasi.”

Muda wa kuwa amejificha usimuanike.

Swali: Je, asitiriwe ikiwa mtu anajulikana kumcha Allaah lakini akatumbukia katika maasi?

Jibu: Ndiyo, asitiriwe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31168/ما-ضابط-الستر-على-المسلم-العاصي
  • Imechapishwa: 09/10/2025