Kumuuliza aliye karibu nawe msikitini kitu chako kilichokupotea

145 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu aliyepoteza kitu msikitini. Je, inafaa kwake kumuuliza aliyeko karibu naye?

Jibu: Ndio, kwani hilo si kutangaza kitu kilichopotea.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 69
  • Imechapishwa: 27/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´