Swali: Ikiwa mtu anakula na mtu mwenye ugonjwa wa ngozi (ukoma) au anakaa naye hali ya kuwa ni mwenye kumtegemeya Allah, je, anapata dhambi?
Jibu: Hakuna ubaya, ikiwa ni kwa faida, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipomjia bwana mmoja mwenye ukoma:
“Kwa jina la Allaah, hali ya kumtegemea Allaah.”
na akala nae. Kufanya sababu ni jambo linalotakikana. Na ikiwa mtu atahitaji kuwa pamoja na mgonjwa huyo, kwa lengo la kumuhudumia au kwa ajili ya kumpa matibabu, hakuna ubaya.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/22027/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D9%85%D8%AE%D8%A7%D9%84%D8%B7%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D8%B0%D9%88%D9%85-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B1%D9%8A%D8%B6-%D9%84%D8%AD%D8%A7%D8%AC%D8%A9
- Imechapishwa: 08/06/2020
Swali: Ikiwa mtu anakula na mtu mwenye ugonjwa wa ngozi (ukoma) au anakaa naye hali ya kuwa ni mwenye kumtegemeya Allah, je, anapata dhambi?
Jibu: Hakuna ubaya, ikiwa ni kwa faida, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipomjia bwana mmoja mwenye ukoma:
“Kwa jina la Allaah, hali ya kumtegemea Allaah.”
na akala nae. Kufanya sababu ni jambo linalotakikana. Na ikiwa mtu atahitaji kuwa pamoja na mgonjwa huyo, kwa lengo la kumuhudumia au kwa ajili ya kumpa matibabu, hakuna ubaya.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/22027/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D9%85%D8%AE%D8%A7%D9%84%D8%B7%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D8%B0%D9%88%D9%85-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B1%D9%8A%D8%B6-%D9%84%D8%AD%D8%A7%D8%AC%D8%A9
Imechapishwa: 08/06/2020
https://firqatunnajia.com/kumuuguza-mwenye-ugonjwa-ya-kuambukiza/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)