Kumuoa mwanamke asiyeswali


Swali: Inajuzu kumuoa mwanamke ambaye anautambua Uislamu lakini haswali?

Jibu: Hapana. Huyu ni kafiri. Mwanamke mwenye kukusudia kuacha swalah ni kafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (94) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-27-01-1440%D9%87%D9%80.mp3
  • Imechapishwa: 06/02/2019