Swali: Kuna msichana aliye na msimamo wa dini na baba yake ni mtu mwenye tamaa ambaye ameomba pesa nyingi. Je, inafaa kwangu kumposa na kutoa hiyo pesa aliyoomba baba yake ili niweze kumuokoa asije kuja kuposwa na mwanaume jangiri?
Jibu: Hakika kila kitendo kinategemea na nia. Ikiwa hiyo ndio nia yako basi ni mwenye kulipwa thawabu – Allaah akitaka. Na ikiwa mwanamke anaweza kukutii na mkaenda kwa hakimu na yeye atamuomba baba yake awafungishe ndoa. Akiridhia kuwaozesheni, atafanya hivyo, asiporidhia basi hakimu atamteulia mwakilishi mwingine wa kumfungisha ndoa.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 466
- Imechapishwa: 23/07/2025
Swali: Kuna msichana aliye na msimamo wa dini na baba yake ni mtu mwenye tamaa ambaye ameomba pesa nyingi. Je, inafaa kwangu kumposa na kutoa hiyo pesa aliyoomba baba yake ili niweze kumuokoa asije kuja kuposwa na mwanaume jangiri?
Jibu: Hakika kila kitendo kinategemea na nia. Ikiwa hiyo ndio nia yako basi ni mwenye kulipwa thawabu – Allaah akitaka. Na ikiwa mwanamke anaweza kukutii na mkaenda kwa hakimu na yeye atamuomba baba yake awafungishe ndoa. Akiridhia kuwaozesheni, atafanya hivyo, asiporidhia basi hakimu atamteulia mwakilishi mwingine wa kumfungisha ndoa.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 466
Imechapishwa: 23/07/2025
https://firqatunnajia.com/kumuoa-msichana-mwenye-dini-wa-baba-mwenye-tamaa/