Swali: Mke wangu anatumia uchawi kwa sababu ananipenda. Je, inafaa kwangu kumtaliki kwa sababu ya sababu hii? Nimeshazaa naye watoto wanne.
Jibu: Akiwa na uhakika… kwa sababu baadhi ya watu wako na wasiwasi. Ikiwa anamtuhumu kwa jambo hili basi kutengana naye ni salama zaidi kwake. Amtaliki. Kufanya hivo ni kheri kwake ikiwa tuhuma yake ni yenye nguvu. Baadhi ya watu wanakuwa na wasiwasi. Sio tuhuma, hata hivyo anafikiri kuwa mwanamke anafanya hivo. Mkewe anampenda na kwa sababu hiyo anamfikiria kuwa kuna majambo anamfanyia. Kwa kifupi ni kwamba ikiwa kuna alama za wazi amtaliki na asalimike na shari yake. Amtaliki talaka moja.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24592/هل-تطلق-الزوجة-لعملها-سحر-جلب-المحبة
- Imechapishwa: 08/11/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)