Swal 284: Ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye hedhi na mwenye damu ya uzazi anapokufa mmoja wao? Inajuzu kuwaswalia ndani ya msikiti?
Jibu: Ndio, inajuzu kukiaminiwa kutochafua msikiti. Kwa sababu hukumu imekatika kwa kufa kwake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 108
- Imechapishwa: 11/10/2019
Swal 284: Ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye hedhi na mwenye damu ya uzazi anapokufa mmoja wao? Inajuzu kuwaswalia ndani ya msikiti?
Jibu: Ndio, inajuzu kukiaminiwa kutochafua msikiti. Kwa sababu hukumu imekatika kwa kufa kwake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 108
Imechapishwa: 11/10/2019
https://firqatunnajia.com/kumswalia-mwenye-hedhi-na-nifasi-msikitini/