Swali: Jina la Raamaa راما  ni jina la mungu wa kihindi. Je, inajuzu kumpa nalo mtoto?

Jibu: Maadamu unasema kuwa ni jina la waungu wa washirikina halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17409
  • Imechapishwa: 07/12/2017