Swali: Nimempa mtoto wangu jina la Ishaaq. Mtu mmoja akanambia kwamba jina hili ni katika majina ya mayahudi. Ni ipi hukumu ya anayelikataza?

Jibu: Hili ni katika jina la Manabii na sio jina la mayahudi. Hili ni jina la Nabii; Ishaaq bin Ibraahiym (´alayhimas-Salaam). Anayesema hivi ni mjinga hajui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-25.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014