Swali: Ni ipi hukumu ya kukodisha maduka ya biashara kwa anayefungua saluni ya kunyoa, kushona kwa wanawake, uuzaji wa kanda za video au kanda za nyimbo?
Jibu: Haifai kumkodishia duka ambaye analitumia kumuasi Allaah. Duka linakodishwa kwa anayelitumia katika mambo ya halali. Anayemkodishia anayenyoa ndevu za watu, zana za pumbao, anauza pombe au vyenginevyo katika maasi hakodishiwi. Haijuzu popote pale. Haijalishi kitu hata kama ni Marekani na kwenginepo. Muda wa kuwa ni muislamu basi haifai kwake kusaidia juu ya kumwasi Allaah. Ni mamoja kwa kukodisha au kwa njia nyingine.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/3632/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%AA%D8%A7%D8%AC%D9%8A%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AD%D9%84%D8%A7%D8%AA-%D9%84%D8%A7%D9%85%D9%88%D8%B1-%D9%85%D9%86%D9%83%D8%B1%D8%A9-%D8%A7%D9%88-%D9%85%D8%B4%D8%A8%D9%88%D9%87%D8%A9
- Imechapishwa: 28/02/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kukodisha maduka ya biashara kwa anayefungua saluni ya kunyoa, kushona kwa wanawake, uuzaji wa kanda za video au kanda za nyimbo?
Jibu: Haifai kumkodishia duka ambaye analitumia kumuasi Allaah. Duka linakodishwa kwa anayelitumia katika mambo ya halali. Anayemkodishia anayenyoa ndevu za watu, zana za pumbao, anauza pombe au vyenginevyo katika maasi hakodishiwi. Haijuzu popote pale. Haijalishi kitu hata kama ni Marekani na kwenginepo. Muda wa kuwa ni muislamu basi haifai kwake kusaidia juu ya kumwasi Allaah. Ni mamoja kwa kukodisha au kwa njia nyingine.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa ad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/3632/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%AA%D8%A7%D8%AC%D9%8A%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AD%D9%84%D8%A7%D8%AA-%D9%84%D8%A7%D9%85%D9%88%D8%B1-%D9%85%D9%86%D9%83%D8%B1%D8%A9-%D8%A7%D9%88-%D9%85%D8%B4%D8%A8%D9%88%D9%87%D8%A9
Imechapishwa: 28/02/2020
https://firqatunnajia.com/kumkodishia-nyumba-na-duka-anayetaka-kufanya-maasi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)