Swali: Ni wajibu kwa mume kumhudumikia mkewe ambaye anafanya kazi kwa idhini yake?
Jibu: Ndio, hata kama atakuwa na mamilioni. Bado ni wajibu wa mume kumhudumikia. Hili halina shaka. Isipokuwa ikiwa kama alimshurutishia kuwa atajihudumikia mwenyewe. Waislamu wanatakiwa kutimiza masharti yao. Vinginevyo ni wajibu kwa mume kumhudumikia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%201%20-%2011%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 13/02/2017
Swali: Ni wajibu kwa mume kumhudumikia mkewe ambaye anafanya kazi kwa idhini yake?
Jibu: Ndio, hata kama atakuwa na mamilioni. Bado ni wajibu wa mume kumhudumikia. Hili halina shaka. Isipokuwa ikiwa kama alimshurutishia kuwa atajihudumikia mwenyewe. Waislamu wanatakiwa kutimiza masharti yao. Vinginevyo ni wajibu kwa mume kumhudumikia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%201%20-%2011%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 13/02/2017
https://firqatunnajia.com/kumhudumikia-mke-anayefanya-kazi-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket