Kumfuturisha mfungaji wa jumatatu na alkhamisi

Swali: Mwenye kumfuturisha mfungaji wa jumatatu na alkhamisi anapata thawabu mfano wake?

Jibu: Ana fungu lake katika hayo kutokana na kuenea kwa Hadiyth:

“Mwenye kumfuturisha mwenye kufunga ana mfano wa ujira wake pasi na kupungua chochote kwenye ujira wa mfungaji.”

Kuenea kwa Hadiyth kunapelekea hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (99) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-10-07-1440%D9%87%D9%80_0.mp3
  • Imechapishwa: 09/08/2020