Swali: Inafaa kwa mtu kumfanya Sutrah mwanaume mwenzake ambaye kakaa chini au amesimama anaswali?
Jibu: Mbele ya mtu kukiwa mtu ambaye ameketi chini au amesimama anaswali basi anakuwa ni Sutrah yake.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
- Imechapishwa: 05/08/2019
Swali: Inafaa kwa mtu kumfanya Sutrah mwanaume mwenzake ambaye kakaa chini au amesimama anaswali?
Jibu: Mbele ya mtu kukiwa mtu ambaye ameketi chini au amesimama anaswali basi anakuwa ni Sutrah yake.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
Imechapishwa: 05/08/2019
https://firqatunnajia.com/kumfanya-sutrah-mwanaume-aliyekaa-au-anayeswali-mbele-yako/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)