Kumchinja mnyama kwa lengo la kumpunguzia maumivu

603 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu kuchinja kwa ajili tu ya kumpunguzia maumivu?

Jibu: Hakuna ubaya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 214
  • Imechapishwa: 11/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´