268 – Aliulizwa kuhusu Hadiyth isemayo:

“Kikitengwa chakula cha jioni na ukafika muda wa swalah aanze nacho [chakula].”[1]

Je, ale mpaka ashibe?

Jibu: Ndiyo, kutokana na Hadiyth hii.

[1] Muslim (577).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 98
  • Imechapishwa: 16/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´