Kukusudia kufanya makosa wakati wa kufundisha Qur-aan

Swali 718: Mwalimu wa wavulana wadogo hufanya makosa katika usomaji wake wakati wa kusoma kwake Qur-aan kwa madhumuni ya kufundisha. Je, inajuzu?

Jibu: Hapana. Bali anawafundisha kwa kutumia mfumo mwingine. Kinachodhihiri ni kwamba haijuzu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 251
  • Imechapishwa: 05/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´