Swali: Baadhi ya Misikiti huadhini kabla ya kuingia kwa wakati, kwa dakika nane. Na wakafuturu baadhi ya watu kutokana na adhaana hii. Je, walipe swawm ya siku hio?
Jibu: Ikiwa jua lilikuwa halijazama, itawalazimu kulipa. Na ikiwa lilikuwa limeshazama, swawm yao ni sahihi.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Baadhi ya Misikiti huadhini kabla ya kuingia kwa wakati, kwa dakika nane. Na wakafuturu baadhi ya watu kutokana na adhaana hii. Je, walipe swawm ya siku hio?
Jibu: Ikiwa jua lilikuwa halijazama, itawalazimu kulipa. Na ikiwa lilikuwa limeshazama, swawm yao ni sahihi.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/kukata-swawm-dakika-8-kabla-ya-adhaana/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket