Swali: Je, ni haramu kukata kucha usiku?

Jibu: Kukata kucha usiku na mchana yote yanafaa. Mchana na usiku yote mawili yamesuniwa kwa hali zote.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1452/حكم-تقليم-الاظافر-ليلا
  • Imechapishwa: 20/12/2025