Swali: Ninasoma Qur-aan na ninajaribu kuimaliza kila mwezi. Je, nikamilishe nilipoishia mchana ikiwa nataka kuisoma katika swalah ya witr usiku?
Jibu: Hapana. Kila unapofika mwisho wa Qur-aan, unatakiwa kuikamilisha papohapo – ni mamoja iwe ni mwisho wa mchana, mwanzo wa usiku au mwanzo wa mchana. Unapomaliza, basi kamilisha khitimisho lako, kisha anza upya khitimisho jengine. Unatakiwa kuendelea na usomaji wako wa Qur-aan usiku na mchana kwa utaratibu wako na ukifika mwisho hucheleweshi, bali unakamilisha kisha unaanza tena mwanzo wa Qur-aan. Kwa hiyo usiseme nitachelewesha hadi usiku. Bali Sunnah ni kukamilisha mara unapofika mwisho, kisha kuanza upya.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3532/استمرار-الانسان-في-قراءة-ورده-ليلا-ونهارا
- Imechapishwa: 10/09/2026
Swali: Ninasoma Qur-aan na ninajaribu kuimaliza kila mwezi. Je, nikamilishe nilipoishia mchana ikiwa nataka kuisoma katika swalah ya witr usiku?
Jibu: Hapana. Kila unapofika mwisho wa Qur-aan, unatakiwa kuikamilisha papohapo – ni mamoja iwe ni mwisho wa mchana, mwanzo wa usiku au mwanzo wa mchana. Unapomaliza, basi kamilisha khitimisho lako, kisha anza upya khitimisho jengine. Unatakiwa kuendelea na usomaji wako wa Qur-aan usiku na mchana kwa utaratibu wako na ukifika mwisho hucheleweshi, bali unakamilisha kisha unaanza tena mwanzo wa Qur-aan. Kwa hiyo usiseme nitachelewesha hadi usiku. Bali Sunnah ni kukamilisha mara unapofika mwisho, kisha kuanza upya.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3532/استمرار-الانسان-في-قراءة-ورده-ليلا-ونهارا
Imechapishwa: 10/09/2026
https://firqatunnajia.com/kukamilisha-kisomo-cha-qur-aan-usiku-katika-witr-baada-ya-kusoma-mchana/