Download”(Wanaowashirikisha ni bora) Au Yule Anayemuitika mwenye dhiki anapomwomba, na Akamuondoshea uovu (dhiki), na Akakufanyeni makhalifa wa ardhi? Je, yuko mungu (mwengine) pamoja na Allaah?  (Hapana!) Ni machache (mno) mnayokumbuka (na mkapata kuzingatia).” (an-Naml 27:62)

  • Tarjama: Firqatunnajia.com

Turn on/off menu