Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kujipodoa wakati mposaji anataka kumtazama?

Jibu: Hapana, asijighushi. Huko ni kughushi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 25/07/2024