Swali: Je, inafaa kwangu kujilipua kwa bomu mkononi mwangu badala ya kushikwa na adui?
Jibu: Hapana, haijuzu isipokuwa mpaka kuweko na nchi ya Kiislamu na akuamrishe mtawala muislamu kwa yale anayoona kuwa ni manufaa kwa waislamu. Kuhusu mwanajeshi wa Kiislamu kujilipua yeye mwenyewe kwa mtazamo wake ni kitu kisichojuzu.
Muulizaji: Hatojilipua yeye mwenyewe. Anajilipua mwenyewe na askari pia.
al-Albaaniy: Ndio, naelewa. Haijuzu hata kama utawaua makafiri elfu.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (402)
- Imechapishwa: 26/12/2020
Swali: Je, inafaa kwangu kujilipua kwa bomu mkononi mwangu badala ya kushikwa na adui?
Jibu: Hapana, haijuzu isipokuwa mpaka kuweko na nchi ya Kiislamu na akuamrishe mtawala muislamu kwa yale anayoona kuwa ni manufaa kwa waislamu. Kuhusu mwanajeshi wa Kiislamu kujilipua yeye mwenyewe kwa mtazamo wake ni kitu kisichojuzu.
Muulizaji: Hatojilipua yeye mwenyewe. Anajilipua mwenyewe na askari pia.
al-Albaaniy: Ndio, naelewa. Haijuzu hata kama utawaua makafiri elfu.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (402)
Imechapishwa: 26/12/2020
https://firqatunnajia.com/kujilipua-kwa-bomo-ili-asikamatwe-na-adui/