Kujilaza ndani ya kaburi ili kulainisha moyo

Swali: Baadhi ya watu huenda wakaenda kwenye kaburi lililochimbwa kisha wakajilaza ndani yake. Je, kitendo hich kina msingi?

Jibu: Hapana, halina msingi. Kulala ndani ya makaburi hakuna msingi wowote.

Swali: Kitendo hicho hufanya nyoyo zikalainika?

Jibu: Hapana, hili halina msingi wowote.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28812/حكم-الاستلقاء-في-القبر-لترقيق-القلوب
  • Imechapishwa: 25/04/2025