Kufupisha swalah nyuma ya imamu

Swali: Je, inajuzu kwangu kufupisha Swalah mimi kama msafiri nikiswali nyuma ya Imamu?

Jibu: Hapana. Una hukumu moja kama Imamu. Haijuzu kwako kufupisha Swalah nyuma ya Imamu anayeswali Rakaa kikamilifu. Hukumu yako ni kama ya Imamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015