Swali 298: Nilimuuliza Shaykh kuhusu kusafiri kwa ajili ya kutoa pole katika mji mwingine?
Jibu: Hapana vibaya.
Swali 299: Vipi kusafiri kwa ajili ya kutoa pole?
Jibu: Hapana vibaya. Vivyo hivyo kusafiri kwa ajili ya kumswalia maiti.
Swali 300: Pia aliulizwa kuhusu mtu kusafiri kwa ajili ya kutoa pole?
Jibu: Hakuna ubaya katika hilo. Kilichokatazwa ni kufunga safari kwa nia ya kwenda kutembelea misikiti; isipokuwa tu misikiti mitatu tu.
Swali 301: Vipi kusafiri kwa ajili ya swalah ya jeneza?
Jibu: Ndio, hapana vibaya.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 108
- Imechapishwa: 23/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 298: Nilimuuliza Shaykh kuhusu kusafiri kwa ajili ya kutoa pole katika mji mwingine?
Jibu: Hapana vibaya.
Swali 299: Vipi kusafiri kwa ajili ya kutoa pole?
Jibu: Hapana vibaya. Vivyo hivyo kusafiri kwa ajili ya kumswalia maiti.
Swali 300: Pia aliulizwa kuhusu mtu kusafiri kwa ajili ya kutoa pole?
Jibu: Hakuna ubaya katika hilo. Kilichokatazwa ni kufunga safari kwa nia ya kwenda kutembelea misikiti; isipokuwa tu misikiti mitatu tu.
Swali 301: Vipi kusafiri kwa ajili ya swalah ya jeneza?
Jibu: Ndio, hapana vibaya.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 108
Imechapishwa: 23/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kufunga-safari-kwenda-mazishini/