Kufanya Hajj baada ya kutoa hongo

Swali: Imeniwezekania kupata kibali cha Hajj kwa kulipa kiasi cha fedha. Je, inajuzu kwangu kuhiji kwa kutumia kibali hicho?

Jibu: Hapana. Hii ni rushwa na haifai kufanya hivyo.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
  • Imechapishwa: 30/09/2026