Kudumu kusoma Qunuut nje ya Ramadhaan

Swali: Ni ipi hukumu ya kudumu kusoma Qunuut katika swalah ya Witr wakati wote nje ya Ramadhaan?

Jibu: Baadhi ya wanazuoni wanaona kwamba kutokuendelea nayo wakati wote ni bora na kwamba mtu aisome wakati fulani na aache wakati mwingine.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
  • Imechapishwa: 18/09/2026