Swali: Ni ipi hukumu ya kuchukua picha za jua kwa sababu ya haja au kwa ajili ya mapambo?
Jibu: Kuchukua picha viumbe vilivyo hai ni haramu isipokuwa zile zinazopelekea katika dharurah. Mfano wa hizo ni kama kuchukua picha kwa ajili ya cheti, pasipoti au kuwachukua picha wahalifu ili watambulike na wakamatwe pindi wanapofanya tendo la jinai na wakataka kukimbia.
- Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alifta.net/Fatawa/fatawaDetails.aspx?languagename=ar&View=Page&PageID=360&PageNo=1&BookID=3
- Imechapishwa: 21/04/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kuchukua picha za jua kwa sababu ya haja au kwa ajili ya mapambo?
Jibu: Kuchukua picha viumbe vilivyo hai ni haramu isipokuwa zile zinazopelekea katika dharurah. Mfano wa hizo ni kama kuchukua picha kwa ajili ya cheti, pasipoti au kuwachukua picha wahalifu ili watambulike na wakamatwe pindi wanapofanya tendo la jinai na wakataka kukimbia.
Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alifta.net/Fatawa/fatawaDetails.aspx?languagename=ar&View=Page&PageID=360&PageNo=1&BookID=3
Imechapishwa: 21/04/2018
https://firqatunnajia.com/kuchukua-picha-kwa-ajili-ya-mapambo/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)