Kuchinja Udhhiyah ni kila mwaka

Swali: Je, kuchinja Udhhiyah ni kila mwaka au ni mara moja katika maisha?

Jibu: Sunnah ni kila mwaka. Udhhiyah ni kila mwaka. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akichinja kila mwaka. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akichinja kondoo wawili; mmoja kwa ajili yake na kwa ajili ya watu wa familia yake na mwingine kwa ajili ya wale wapwekeshaji katika ummah wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/18020/هل-يجوز-ان-تخصص-الاضحية-للميت-فقط-بعد-وفاته
  • Imechapishwa: 07/06/2024