Swali 380: Kuna mwanamke anasema kwamba msichana wake amefariki na hakuweko wakati wa kufa kwake na akazikwa kwenye makaburi yasiyokuwa na wanawake. Maiti wote walioko kwenye makaburi hayo ni wanaume. Je, inajuzu kumzika msichana wake pamoja na wanaume au inafaa kumuhamisha?
Jibu: Inajuzu kuwazika wanawake kwenye makaburi ya wanaume na kinyume chake. Hata hivyo kila maiti azikwe kwenye kaburi lake pekee.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 151
- Imechapishwa: 02/09/2019
Swali 380: Kuna mwanamke anasema kwamba msichana wake amefariki na hakuweko wakati wa kufa kwake na akazikwa kwenye makaburi yasiyokuwa na wanawake. Maiti wote walioko kwenye makaburi hayo ni wanaume. Je, inajuzu kumzika msichana wake pamoja na wanaume au inafaa kumuhamisha?
Jibu: Inajuzu kuwazika wanawake kwenye makaburi ya wanaume na kinyume chake. Hata hivyo kila maiti azikwe kwenye kaburi lake pekee.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 151
Imechapishwa: 02/09/2019
https://firqatunnajia.com/kuchanganya-makaburini-wanaume-na-wanawake/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket