Kubadilisha maeneo wakati wa kuswali Sunnah II

Swali: Ni ipi hukumu ya kubadilisha maeneo katika Sunnah ya Raatibah?

Jibu: Jambo ni lenye wasaa, ni mamoja katika swalah ya faradhi na nyenginezo. Jambo ni lenye wasaa. Hakuna jambo lililothibiti.

Swali: Kwa hivyo sio Sunnah?

Jibu: Hakuna jambo lililothibiti.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24633/حكم-تغيير-المكان-في-السنة-الراتبة
  • Imechapishwa: 16/11/2024