Kuanza mwanzo wa Aayah au kuendelea mtu alipoishilia?

Swali: Wakati ambapo msomaji anapitia Aayah inayozungumzia rehema ambapo akamuomba Allaah (Ta´ala) au Aayah inayozungumzia adhabu ambapo akamuomba Allaah amsalimishe – je, ni lazima kwake baada ya du´aa anatakiwa kuanza kisomo upya?

Jibu: Hapana.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 43
  • Imechapishwa: 01/07/2022