Swali: Nina kaka yangu mkubwa kuliko mimi, naye ndiye mkubwa katika ndugu zangu. Alinyonya pamoja na ami takriban zaidi ya mara tano. Je, mabinti wa kaka yangu huyu wanahalalika kwa kaka yangu mwingine au kwa ndugu zangu wengine?
Jibu: Ikiwa kaka yako alinyonya kwa mke wa babu yenu, yaani mke wa mjomba wenu (ndugu wa baba yenu), basi kunyonya huko kunamfanya awe ndugu yenu wa kunyonya. Anakuwa ndugu yenu kama ambavyo angekuwa ndugu wa damu, na pia anakuwa ndugu kwa baba yenu na kwa wajomba zenu.
Swali: Je, wasichana wake wanahalalika kwangu?
Jibu: Wewe unakuwa mjomba wao kwa kunyonya. Kwa hiyo wasichana zake hawakuhalaliki. Aidha hawahalaliki kwa watoto wako pia, kwa sababu huyu ndugu yako aliyenyonyesha anakuwa mjomba wao kwa kunyonya. Kanuni ni kwamba kwamba kunyonya kunafanya kuwa haramu kile ambacho kimeharamishwa na nasaba. Kwa hivyo kila kinachoharamishwa kwa udugu wa damu, kinaharamishwa pia kwa udugu wa kunyonya.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1194/ما-الذي-يحرمه-الرضاع
- Imechapishwa: 07/02/2026
Swali: Nina kaka yangu mkubwa kuliko mimi, naye ndiye mkubwa katika ndugu zangu. Alinyonya pamoja na ami takriban zaidi ya mara tano. Je, mabinti wa kaka yangu huyu wanahalalika kwa kaka yangu mwingine au kwa ndugu zangu wengine?
Jibu: Ikiwa kaka yako alinyonya kwa mke wa babu yenu, yaani mke wa mjomba wenu (ndugu wa baba yenu), basi kunyonya huko kunamfanya awe ndugu yenu wa kunyonya. Anakuwa ndugu yenu kama ambavyo angekuwa ndugu wa damu, na pia anakuwa ndugu kwa baba yenu na kwa wajomba zenu.
Swali: Je, wasichana wake wanahalalika kwangu?
Jibu: Wewe unakuwa mjomba wao kwa kunyonya. Kwa hiyo wasichana zake hawakuhalaliki. Aidha hawahalaliki kwa watoto wako pia, kwa sababu huyu ndugu yako aliyenyonyesha anakuwa mjomba wao kwa kunyonya. Kanuni ni kwamba kwamba kunyonya kunafanya kuwa haramu kile ambacho kimeharamishwa na nasaba. Kwa hivyo kila kinachoharamishwa kwa udugu wa damu, kinaharamishwa pia kwa udugu wa kunyonya.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1194/ما-الذي-يحرمه-الرضاع
Imechapishwa: 07/02/2026
https://firqatunnajia.com/kinachoharamishwa-kwa-udugu-wa-damu-kinaharamika-kwa-udugu-wa-kunyonya/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket