Swali: Je, kuzitendea kazi hukumu za Tajwiyd ni wajibu au hapana?
Jibu: Kusoma Qur-aan kwa sauti ya wazi na fasaha kwa njia ya kwamba kila herufi ikatoka kwa uzuri ndio jambo la wajibu. Kuhusu المدود na الغنة yote haya ni katika mambo yaliyopendekezwa.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
- Imechapishwa: 19/10/2018
Swali: Je, kuzitendea kazi hukumu za Tajwiyd ni wajibu au hapana?
Jibu: Kusoma Qur-aan kwa sauti ya wazi na fasaha kwa njia ya kwamba kila herufi ikatoka kwa uzuri ndio jambo la wajibu. Kuhusu المدود na الغنة yote haya ni katika mambo yaliyopendekezwa.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
Imechapishwa: 19/10/2018
https://firqatunnajia.com/kilicho-wajibu-katika-tajwiyd/