Swali: Baadhi wanasema kuwa ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni khaliyfah wa jumla?
Jibu: Tangu hapo kale kila nchi au mji una kiongozi wake. Wanachuoni waliokutana na hayo hawakutamka kwa upotevu kama huu. Kila mtawala katika mji anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
Swali: Baadhi wanasema kuwa ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni khaliyfah wa jumla?
Jibu: Tangu hapo kale kila nchi au mji una kiongozi wake. Wanachuoni waliokutana na hayo hawakutamka kwa upotevu kama huu. Kila mtawala katika mji anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
https://firqatunnajia.com/kila-mtawala-wa-nchi-anatakiwa-kutiiwa/