Swali: Wako wanaosema kuwa Qur-aan ni miujiza kiasi cha kwamba hakuna yeyote awezaye kusanifu ipasavo kisomo chake isipokuwa tu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)…
Jibu: Ni maneno batili. Kila muislamu anaweza kusanifu kisomo cha Qur-aan kwa kujifunza pindi atapojifunza Qur-aan.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
- Imechapishwa: 27/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)