Swali: Kuna mwanafunzi mmoja ambaye ameeleza kuwa mwenye kuingia ndani ya shirki ni kafiri. Lakini ambaye anatakiwa kumhukumu ukafiri na kuritadi si kila mmoja akiwemo wanazuoni na maimamu, bali anayefanya hivo ni hakimu…
Jibu: Hakimu ndiye anayemuhukumu kuritadi, kwa sababu anataka kuuliwa. Lakini kusema kuwa ni shirki, kila mmoja anasema hivo. Kila ambaye ana imani anasema kuwa ni shirki. Huhitaji kwenda kwa hakimu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ad-Durr an-Nadhwiyd (01)
- Imechapishwa: 06/03/2025
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)