Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa nguo fupi kwa njia ya kwamba inaonekana sehemu ya muundi?
Jibu: Swali hili linafahamika jawabu lake kwa yale yaliyokwishatangulia. Kila ambavo nguo ya mwanamke inakuwa pana zaidi, ndio inamsitiri zaidi na anakuwa karibu zaidi na hjumeshima. Aidha anakuwa mbali zaidi na fitina.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/272)
- Imechapishwa: 11/04/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa nguo fupi kwa njia ya kwamba inaonekana sehemu ya muundi?
Jibu: Swali hili linafahamika jawabu lake kwa yale yaliyokwishatangulia. Kila ambavo nguo ya mwanamke inakuwa pana zaidi, ndio inamsitiri zaidi na anakuwa karibu zaidi na hjumeshima. Aidha anakuwa mbali zaidi na fitina.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/272)
Imechapishwa: 11/04/2026
https://firqatunnajia.com/kila-ambavyo-ni-ndefu-zaidi-n-k-ndio-bora-zaidi/