Kikosi kikubwa cha wanazuoni kuhusu pombe

Swali 108: Je, pombe ni najisi?

Jibu: Wanachuoni wengi wanaona kuwa ni najisi. Kwa hivyo ni vyema kuosha kinachoguswa nayo kwa ajili ya kuchukua tahadhari.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 60
  • Imechapishwa: 17/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´