Swali: Ni ipi hukumu ya msemo:
”Kikao kimepata baraka kwa uwepo wenu?”
Jibu: Haijuzu. Baraka ni miongoni mwa sifa za Allaah:
أَلَا لَهُ الْخَلْقُ وَالْأَمْرُ ۗ تَبَارَكَ اللَّـهُ رَبُّ الْعَالَمِينَ
“Tanabahi! Uumbaji ni Wake pekee na kupitisha amri. Amebarikika Allaah, Mola wa walimwengu.”[1]
تَبَارَكَ الَّذِي بِيَدِهِ الْمُلْكُ
“Amebarikika Ambaye mkononi Mwake umo ufalme.”[2]
Hata hivyo mtu anaweza kusema:
”Allaah akubariki.”
”Allaah ametubariki kwa kututembelea.”
”Allaah ametubariki kupitia kwako.”
Na mfano wa hayo.
[1] 07:54
[2] 67:01
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24587/ما-حكم-قول-تبارك-المجالس-بوجودكم
- Imechapishwa: 08/11/2024
Swali: Ni ipi hukumu ya msemo:
”Kikao kimepata baraka kwa uwepo wenu?”
Jibu: Haijuzu. Baraka ni miongoni mwa sifa za Allaah:
أَلَا لَهُ الْخَلْقُ وَالْأَمْرُ ۗ تَبَارَكَ اللَّـهُ رَبُّ الْعَالَمِينَ
“Tanabahi! Uumbaji ni Wake pekee na kupitisha amri. Amebarikika Allaah, Mola wa walimwengu.”[1]
تَبَارَكَ الَّذِي بِيَدِهِ الْمُلْكُ
“Amebarikika Ambaye mkononi Mwake umo ufalme.”[2]
Hata hivyo mtu anaweza kusema:
”Allaah akubariki.”
”Allaah ametubariki kwa kututembelea.”
”Allaah ametubariki kupitia kwako.”
Na mfano wa hayo.
[1] 07:54
[2] 67:01
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24587/ما-حكم-قول-تبارك-المجالس-بوجودكم
Imechapishwa: 08/11/2024
https://firqatunnajia.com/kikao-kimepata-baraka-kwa-uwepo-wenu/