Kichinjwa cha Makkah ni bora kuliko kwengine

Swali: Je, kuchinja Udhhiyah Makkah kuna ubora kuliko nje ya Makkah?

Jibu: Matendo yote mema Makkah ni bora. Hata hivyo asipopata Makkah wanaokula kichinjwa hicho, basi kumchinja maeneo mengine ambapo kuna mafukara ndio bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/48)
  • Imechapishwa: 06/06/2024