Swali: Watu mtu anapomsomea Qur-aan mwanaume au mwanamke aliyerogwa anapiga ukelele, anahisi dhiki na hawakuachi umalize kisomo. Je, tuwaache wakiwa na uchawi wao au tuendelee kuwasomea Qur-aan kwa nguvu?
Jibu: Wasomee Qur-aan lakini bila ya maudhi au kuwapiga. Wasomee Qur-aan tu pasi na kuwapiga wala kuwapa dhiki kama kupiga mwili na mfano wa hayo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/07.mp3
- Imechapishwa: 12/01/2019
Swali: Watu mtu anapomsomea Qur-aan mwanaume au mwanamke aliyerogwa anapiga ukelele, anahisi dhiki na hawakuachi umalize kisomo. Je, tuwaache wakiwa na uchawi wao au tuendelee kuwasomea Qur-aan kwa nguvu?
Jibu: Wasomee Qur-aan lakini bila ya maudhi au kuwapiga. Wasomee Qur-aan tu pasi na kuwapiga wala kuwapa dhiki kama kupiga mwili na mfano wa hayo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/07.mp3
Imechapishwa: 12/01/2019
https://firqatunnajia.com/kichapo-wakati-wa-ruqyah/