Swali: Je, kutoka na Jamaa´at-ut-Tabliygh kunahesabika ni katika njia ya Allaah? Je, mfumo wao umejengwa juu ya njia ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na as-Salaf as-Swaalih?
Jibu: Kutoka huku kumezuliwa. Hakuna dalili juu yake. Kule kutoka nao kwa muda maalum na kuona kuwa ni katika mfumo wa Da´wah ni mfumo uliyozuliwa usiyokuwa na dalili. Ni wajibu kwa mtu asichukue maoni wala mifumo isipokuwa tu pale inapokuwa na dalili kutoka katika Qur-aan na Sunnah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
- Imechapishwa: 12/11/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)