Swali: Kufanya ushabiki kwa madhehebu, kwa watu au kwa makundi kunahesabika kuwa ni aina ya kumuabudu asiyekuwa Allaah?
Jibu: Hapana, hayo ni maovu na haijuzu.
Swali: Je, hakuhesabiki kuwa ni katika kumwabudu asiyekuwa Allaah?
Jibu: Hapo ni pale mtu anapolihalalisha. Akiamini kuwa anayemfuata amekingwa na makosa na kwamba maneno yake yote ni ya haki, huko ni kuritadi. Ama kufuata kibubusa kwa jumla kunahitaji upambanuzi.
Swali: Baadhi yao wanasema:
“Kila jambo linalopingana na maneno ya imamu, basi linatakiwa kutafutiwa tafsiri.”
Jibu: Hayo ni kosa, linapaswa kukemewa bila shaka. Lazima kurejelea Maandiko na kuyaweka mbele ya kila kitu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31209/حكم-التعصب-للمذاهب-والاشخاص-والجماعات
- Imechapishwa: 11/10/2025
Swali: Kufanya ushabiki kwa madhehebu, kwa watu au kwa makundi kunahesabika kuwa ni aina ya kumuabudu asiyekuwa Allaah?
Jibu: Hapana, hayo ni maovu na haijuzu.
Swali: Je, hakuhesabiki kuwa ni katika kumwabudu asiyekuwa Allaah?
Jibu: Hapo ni pale mtu anapolihalalisha. Akiamini kuwa anayemfuata amekingwa na makosa na kwamba maneno yake yote ni ya haki, huko ni kuritadi. Ama kufuata kibubusa kwa jumla kunahitaji upambanuzi.
Swali: Baadhi yao wanasema:
“Kila jambo linalopingana na maneno ya imamu, basi linatakiwa kutafutiwa tafsiri.”
Jibu: Hayo ni kosa, linapaswa kukemewa bila shaka. Lazima kurejelea Maandiko na kuyaweka mbele ya kila kitu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31209/حكم-التعصب-للمذاهب-والاشخاص-والجماعات
Imechapishwa: 11/10/2025
https://firqatunnajia.com/kasumba-za-kimadhehebu-watu-na-makundi/