Swali: Vipi kuhusu kuishusha kanzu vidole vinne chini ya goti kama ilivyotajwa katika Hadiyth?

Jibu: Hapana, ishushwe mpaka kwenye nusu muundi.

Swali: Lakini akifanya hivo kitendo hicho ni kwa njia ya kuchukiza?

Jibu: Hapana vibaya akishusha hadi kwenye nusu muundi. Jambo ni lenye wasaa hadi kwenye goti. Yote yanafaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23304/حكم-جعل-القميص-تحت-الركبة-باربع-اصابع
  • Imechapishwa: 31/05/2025