Kamnyonyesha mtoto wa miaka tatu

Swali: Nilimnyonyesha yatima ambaye alikuwa na miaka tatu…

Jibu: Miaka tatu? Huyu anakula chakula cha kawaida. Hana haja ya maziwa. Huu ni unyonyeshaji wa mtu mkubwa na hakudhuru kitu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/02/2018