Kafiri mwenye janaba kuingia msikitini

Swali 147: Je, kafiri mwenye janaba aachwe kuingia msikitini?

Jibu: Ukafiri ni mbaya zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 70
  • Imechapishwa: 27/03/2025
  • Mkusanyaji: haykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´