Kafara juu ya kukata mti wa Haram?

Swali 415: Je, kuna kafara yoyote juu ya kukata miti katika msikiti Mtakatifu?

Jibu: Sijui dalili yoyote ya wazi juu ya hilo. Hata hivyo ni suala ambalo wanazuoni wametofautiana. Allaah ndiye mjuzi zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 138
  • Imechapishwa: 23/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´