Swali: Jua haliisafishi ardhi?

Jibu: Hakuna kitu kilichopokelewa kinachofahamisha hivo. Kimsingi ni kusafisha kwa maji. Ukitaka kusafisha maeneo ya ardhi  ambayo yamepatwa na mkojo unamwaga juu yake maji. Weka maji mengi mahala hapo, kama alivyoamrisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24695/هل-تطهر-الشمس-نجاسة-الارض
  • Imechapishwa: 28/11/2024