Je, majini waislamu hushiriki vikao vya kielimu?

Swali: Je, majini waislamu hushiriki katika vikao hivi?

Jibu: Dhahiri ni kwamba hushiriki, kwa sababu watu wa kheri hutafuta kheri na watu wa shari hutafuta shari. Ni sawa na wanadamu katika hilo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31188/هل-يحضر-مسلمو-الجن-مجالس-الذكر
  • Imechapishwa: 11/10/2025